If this option is set, then users logging in using this SSO provider will have their session length limited to no longer than this value. If set to 0 (zero), the session will expire upon the user closing their browser. If left blank, the Django platform session default length will be used.
Kama kipengele hiki kimetegeshwa, hivyo watumiaji wanaiongia mtandaoni kutumia SSO mtoaji ataongezewa muda wa kipindi usiozidi thamani hii. Kama imetegeshwa kwenye 0 (sifuri), muda wa kipindi utaisha wakati mtumiaji anapofunga kivinjari chake. Kama ikiwachwa wazi, muda wa wa ukomo wa jukwaa la Django utatumika.